Madam rita paulsen at ayo tv habari
· Go to channel · Nilikutana Na Mzee Mengi Gym, Sikuwa Najua Yeye Ni Nani" | SALAMA NA MADAM RITA PART 2..
Rita Paulsen
| Rita Paulsen | |
Madam Rita mnamo 2024 | |
| Amezaliwa | Karagwe, Kagera, Tanzania |
|---|---|
| Kazi yake | Mkurugenzi wa Bongo Star Search(BSS) |
Rita Paulsen (anafahamika pia kama Madam Rita; alizaliwa wilaya ya Karagwe, Mkoa wa Kagera, 26 Februari1977[1]) ni mjasiriamali, mhisani na mwanzilishi na mmiliki wa shirika linaloitwa Benchmark Productions.
Kwa sasa anaendesha kipindi chake katika televisheni kiitwacho Rita Paulsen Show.
Pia ni kati ya watu wa kwanza kuanzisha kampuni ya urembo na kuuchukulia urembo kama biashara[2].
Dr Rita Linkner · Madam Rita Cafe Kizilay · Rita.
Mnamo mwaka 2007 alianzisha shindano la uimbaji lijulikanalo kama Bongo Star Search (BSS), mradi ambao umejikita katika kuibua vipaji vya uimbaji kwa vijana mbalimbali nchini Tanzania. Kwa kufundisha taaluma za uimbaji kupitia hilo shindano la uimbaji.
Mradi huu umewaibua wasanii wengi.Dhamira ni kuinua tasnia ya mziki ili kuwezesha kuinua vipaji vya vijana kupitia mziki.[3][4]&